Kuhusu Salamba Radio

Redio yako ya mtandaoni inayokupa maudhui bora kila siku

Salamba Radio ni sehemu ya SalambaTv, jukwaa la kidigitali la elimu ya kubashiri hasa katika mchezo wa Soka. Tunakupatia muziki, michezo, uchambuzi wa kitaalamu, na burudani kupitia redio yetu ya mtandaoni.

Mchambuzi mahiri wa soka Nchini Tanzania, Dominick Salamba, anashea uzoefu wake katika uchambuzi wa mchezo wa Soka na kushauri wanajamii kufanya maamuzi ya kubashiri matokeo kwa kiwango cha juu cha ushindi.

Tunaamini katika uwazi, ubora, na jamii yenye nguvu. Salamba Radio ni zaidi ya redio - ni familia ya wapenzi wa michezo na burudani wanaoshiriki mawazo na uzoefu.

Dhamira Yetu

Kuwapatia watu maudhui bora ya burudani, elimu, na uchambuzi wa michezo kupitia redio ya mtandaoni inayofikika popote duniani.

Malengo Yetu

Kuwa redio ya kwanza ya mtandaoni Tanzania inayounganisha burudani, michezo, na elimu ya kubashiri kwa njia ya kisasa.

Jamii Yetu

Zaidi ya watu 18,000+ wanaotuamini na kusikiliza maudhui yetu kila siku. Ungana na familia kubwa ya Salamba leo!

Ubora Wetu

Tunajivunia kutoa maudhui ya ubora wa juu, uchambuzi wa kitaalamu, na huduma bora kwa wateja wetu wote.